Back to home
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen awaonya wakeketaji Elgeyo Marakwet
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
6h ago
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, ametoa onyo kali kwa wakazi wa eneo bunge la Marakwet Mashariki kaunti ya Elgeyo Marakwet dhidi ya kushiriki kwenye vitendo vya ukeketaji.




