Back to home

Vifaa vya IEBC vya chaguzi ndogo vimewasili

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
6d ago
Stakabadhi za kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo ujao zimesafirishwa katika maeneo 22 ya kupiga kura Alhamisi ijayo huku tume ya uchaguzi IEBC ikihakikishia wakenya kwamba zoezi hili litakuwa la sawa na kweli kulingana na katiba.