Back to home
Ruto atia saini miswada mitatu muhimu inayolenga kuimarisha mazingira ya uwekezaji
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 21, 2025
5h ago
Rais William Ruto asubuhi ya leo ametia saini miswada mitatu muhimu inayolenga kuimarisha mazingira ya uwekezaji na kubadili mfumo wa uendeshaji wa mashirika ya umma nchini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the



