Back to home

Wakaazi wa Kabondo Kaspul waitaka EACC kuchunguza madai ya ufujaji wa fedha za NG-CDF

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 21, 2025
5h ago
Baadhi ya wenyeji kutoka eneo bunge la Kabondo Kaspul kaunti ya Homa Bay wameitaka tume EACC kutua eneo hilo kwa madai ya uchunguzi kuhusu ufujaji wa fedha za hazina ya maeneo bunge NG-CDF. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by