Back to home

Watu 31 waangamizwa na maporomoko ya ardhi wazikwa Chesongoch, serikali yaahidi msaada

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
1h ago
Hatimaye watu 31 waliofariki kwenye maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet wamezikwa. Misa ya wafu ilifanyika katika uwanja wa mtakatifu Mauras Chesongoch na baadaye mazishi kufanywa kwenye kipande kimoja cha ardhi. Waziri wa Usalama Kipchumba Mu