Back to home
Watu 2 waangamia katika mapigano mapya Transmara
video
C
Citizen TV (Youtube)November 23, 2025
3w ago
Watu wawili wamethibitishwa kuuwawa kwa kupigwa risasi katika mapigano yaliyozuka kati ya jamii mbili zinazoishi eneo la Angata, Transmara Kusini. Uvamizi huu ukisababishwa na madai ya jaribio la wizi wa mifugo.
Advertisement
Advertisement


