Back to home

Mapigano Transmara: Nyumba 200 zimeteketezwa, mamia watoroka Kilgoris

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 17, 2025
3h ago
Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo la Angata Barrikoi kufuatia mapigano kati ya jamii zinazoishi eneo hilo. Taharuki hii ikizidishwa na visa vya kuteketezwa kwa baadhi ya nyumba katika wodi tatu za eneo hili la kaunti ya Narok.Picha kutoka vijiji hivyo zikionyesha ba
Advertisement