Back to home

Ligi kuu: Gor Mahia kileleni, Tusker nafasi ya nne

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 17, 2025
3h ago
Timu ya Tusker fc imeshuka hadi nafasi ya nne baada ya kushindwa kwa bao 1-0 na timu ya nairobi kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa. Mathare united imeifunga sofapaka kwa bao 1-0 huku shabana fc ikitoka sare tasa na timu ya mara sugar. Gor mahia imerejea kileleni mwa ligi baada ya
Advertisement