Back to home
Watu 3 wafariki, 37 wajeruhiwa katika ajali ya trela na gari la abiria Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)November 23, 2025
3h ago
Watu watatu wamefariki huku wengine wakijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea mapema leo kwenye barabara kuu ya Nairobi - Mombasa.




