Back to home
Wafanyabiashara wapinga mswada wa kuongeza ushuru Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)November 24, 2025
2w ago
Wafanyabiashara wadogo katika kaunti ya Kajiado wamepinga vikali nia ya serikali ya kaunti hiyo kuongeza Ushuru kupitia mswada wa kifedha wa mwaka wa 2025/2026.
Advertisement





