Back to home
Walimu wa Sekondari msingi wataka waongezewe mshahara
video
C
Citizen TV (Youtube)November 25, 2025
1w ago
Walimu wa sekondari msingi (JSS) kaunti ya Nairobi wanaitaka serikali kuwaongezea mshahara wakisema mshahara wa sasa wa shilingi 17,000 haukithi mahitaji yao hata ya kimsingi jijini.
Advertisement





