Back to home
Mamia ya wakazi wa Ododa Kaunti ya Migori wapinga kuhamishwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 25, 2025
3h ago
Mamia ya wakazi katika mtaa wa Ododa katika kaunti ndogo ya Suna Magharibi, kaunti ya Migori wamepinga mpango wa serikali wa kuwafurusha kutoka katika ardhi yao ili kutoa nafasi ya ujenzi wa nyumba ya bei nafuu.




