Back to home
Wanaharakati wataka mahakama ya watoto ibuniwe Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 25, 2025
3h ago
Watetezi wa haki za binadamu wamefanya matembezi ya amani hadi katika mahakama kuu ya Garissa kuwasilisha mapendekezo ya kukabiliana na dhulma za kijinsia katika kaunti hiyo.




