Back to home
Uchaguzi wa mbunge Malava
video
C
Citizen TV (Youtube)November 26, 2025
12h ago
Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC inaendelea kusambaza vifaa vya kupigia kura katika vituo mbalimbali kuliko na uchaguzi mdogo. wabunge sita , seneta mmoja na wawakilishi wadi 17 watachaguliwa kesho. maripota wetu wako katika maeneo yatakayokuwa na uchaguzi mdogo wa





