Back to home
Wagombea tisa wanakabana koo kuwania ubunge katika uchaguzi wa Mbeere North
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
14h ago
Baada ya vurugu kutokea mapema leo katika eneobunge la mbeere north, maafisa wa usalama walidhibiti hali na wapigakura wanaendelea na kutimiza haki yao ya kikatiba.




