Back to home

Uchaguzi wa useneta Baringo wakamilika salama huku idadi ndogo ya wapiga kura ikishuhudiwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
3h ago
Uchaguzi wa useneta kaunti ya Baringo ulikamilika bila matukio yoyote makubwa huku usalama ukiwa umeimrishwa katika maeneobunge yote sita ya kaunti hii. Hata hivyo, Idadi ndogo ya wapiga kura ilishuhudiwa huku vijana wakionekana kususia uchaguzi huo.