Back to home
Watu 23 wakamatwa na mapanga Kasipul huku Mbunge Kaluma akivamiwa na kupokonywa bastola
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
4h ago
Watu 23 wamekamatwa eneobunge la Kasipul kaunti ya Homa Bay wakati wa uchaguzi mdogo, baada ya kupatikana na mapanga ndani ya magari yao. Aidha, vijana waliojihami walimvamia na kumjeruhi mbunge wa Homa Bay Town Peter Kaluma kabla ya kumpokonya mlinzi wake bastola.




