Back to home
Mbunge wa Kilifi south Ken Chonga afurushwa na wafuasi wa DCP huku uchaguzi ukiendelea Magarini
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
4h ago
Katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi mbunge wa Kilifi South Ken Chonga alifurushwa na wafuasi wa chama cha DCP kwa tuhuma za kuwahonga wapiga kura. Hata hivyo katika maeneo mengi ya eneobunge hilo, zoezi hilo limeendelea kama lilivyopangwa huku baadhi ya wapiga kura waki





