Back to home
Machafuko Malava | Magari ya Wamalwa na Panyako yateketezwa katika vurugu za uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
4h ago
Tuanze katika eneo bunge la Malava ambako uchaguzi wa leo umekumbwa na machafuko na uvamizi huku magari ya viongozi kadhaa wa kisiasa eneo hilo yakiteketezwa. Miongoni mwa magari hayo ni moja la kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa pamoja na lile la mgombea wa chama hicho Seth Panyako




