Back to home

Polisi wakabiliana na vijana waliotaka kuvamia kituo cha kuhesabu kura Siakago Social Mbeere North

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
4h ago
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza katika eneobunge la Mbeere North ambako maafisa wa polisi jioni hii wamekabiliana na baadhi ya vijana waliotaka kuvamia kituo cha kuhesabia cha Siakago Social. Hii ni kufuatia madai ya muingilio wa uchaguzi huo