Back to home

Vurugu na taharuki yazingira uchaguzi mdogo wa wadi ya Narok Town, idadi ndogo ya wapiga kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
5h ago
Mkanganyiko, taharuki na madai ya ulaghai yalitawala uchaguzi mdogo wa Wadi ya Narok Town, ambao ulishuhudia idadi ndogo ya wapiga kura. Katika Kituo cha Kupigia Kura cha Masikonde, mojawapo ya vituo vikuu katika wadi hiyo - vurugu zilishuhudiwa siku nzima huku ulinzi mkali wa po