Back to home
Idadi ndogo ya wapiga kura yashuhudiwa katika eneo bunge la Ugunja
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
3h ago
Idadi ndogo ya wapiga kura ilijitokeza katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja, ambapo wagombea kumi wanapigania nafasi ya ubunge. Licha ya shuguli hiyo kuendelea bila tashwishi, baadhi ya wagombea waliibua madai ya ukiukaji wa sheria yakiwemo madai ya hongo kwa wapiga kura




