Back to home

Wapiga kura katika wadi ya Kariobangi North hapa Nairobi wanaendelea kufika katika vituo vya kupigia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
11h ago
Wapiga kura katika wadi ya Kariobangi North hapa Nairobi wanaendelea kufika katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi mdogo wa kuchagua mwakilishi wadi mpya eneo hilo. Wapiga kura 24,500 ndio wanatarajiwa kushiriki uchaguzi huo ambao umevutia wawaniaji 16. Uchaguzi huu unaand