Back to home
Wagombea kumi wanamezea mate kiti katika eneobunge la Ugunja
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
3h ago
Katika eneobunge la Ugunja, shughuli ya upigajikura inaendelea huku idadi ndogo tu ya wapigakura ikijitokeza. Wengi wa wanaojitokeza kupigakura ni wakongwe walio na ari ya kumchagua mrithi wa waziri Opiyo Wandayi.



