Back to home
Idadi ndogo ya wapiga kura yashuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa mbunge Malava
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
3h ago
Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la malava kaunti ya Kakamega. Wakazi wanapiga kura katika vituo 198 vya kupigia kura kwenye kinyang'anyiro ambacho kimewavutia wagombea tisa.




