Back to home
Seneta wa Kakamega Boni Khalwale amepokonywa walinzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 26, 2025
21h ago
Habari tunazozipokea katika chumba chetu cha habari sasa nikuwa Seneta wa Kakamega Boni Khalwale naye pia amepokonywa walinzi. Hatua hii imechukuliwa saa chache baada ya walinzi wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kuondolewa. Tutakupasha mengi kwenye taarifa zetu za baadaye




