Back to home
Leonard Wamuthende wa chama cha UDA ashinda kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Mbeere North
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
2w ago
Na kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Mbeere North, Leonard Wamuthende wa chama cha UDA ameshinda kiti hicho kwa kuzoa kura 15,802 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Newton Kariuki wa chama cha Dp aliyepata kura 15,308.
Advertisement
Advertisement




