Back to home

Rais William Ruto azindua ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
6h ago
Rais William Ruto amezindua mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Rironi kuelekea Mau Summit unaotarajiwa kugharimu serikali takriban shilingi bilioni 170.