Back to home
Waangalizi wa uchaguzi wasifu usimamizi wa chaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
2h ago
Kikundi cha Waangalizi wa Uchaguzi (ELOG) kinasema IEBC ilifanya vizuri katika uchaguzi mdogo uliokamilika licha ya fujo zilizoripotiwa katika maeneo kadhaa pamoja na changamoto za mitambo ya kielektroniki. Hata hivyo, ELOG imeitaka tume hiyo na polisi kuchukua hatua pale ambapo





