Back to home
Bradley Omondi kutoka kaunti ya Kakamega ashinda Ksh.500,000 katika shindano la Rubani Challenge
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
3h ago
Bradley Omondi kutoka Kaunti ya Kakamega ameibuka mshindi katika shindano la Rubani Challenge kwenye Shabiki.com, na kujinyakulia shilingi nusu milioni. Omondi alipewa fursa adimu ya kuvinjari eneo la Naivasha. Kwa Hisani ya Shabiki.com ili kusherehekea ushindi Huo.



![SHAJARA| Simulizi ya Faith Kaindio aliyeuza kila kitu ili kumuokoa mwanawe anayeugua kansa [Part 2]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/SHAJARA-Simulizi-ya_1764324833-16x9.jpg)
![SHAJARA| Simulizi ya Faith Kaindio aliyeuza kila kitu ili kumuokoa mwanawe anayeugua kansa [Part 1]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/SHAJARA-Simulizi-ya_1764323627-16x9.jpg)
