Back to home

Harrison Kombe wa chama cha ODM ashinda kwenye uchaguzi ndogo ya Magarini

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 28, 2025
1h ago
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imemtangaza rasmi Harrison Kombe kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Magarini. Kombe amerudi katika kiti hicho baada ya kupata kura nyingi zaidi kwenye mchuano uliovutia hisia na ushindani mkubwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for lates