Back to home
Kipute cha mashirikisho ya FKF
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
2h ago
Nairobi United, Naibos, wametoa wito kwa mashabiki wa soka nchini kujaza uwanja wa Kasarani katika mechi ya Jumapili dhidi ya Maniema Union kutoka D.R Congo katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la CAF.





