Back to home
Ushindi wa UDA Mbeere Kaskazini umeongeza jeki umaarufu
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 28, 2025
2h ago
Ushindi wa Chama cha UDA katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Mbeere Kaskazini umeonekana kuupiga jeki umaarufu wa Naibu Rais Kithure Kindiki katika siasa za Mlima Kenya Mashariki.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates



