Back to home

'Tawe' ilipoteza vipi Malava?

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 28, 2025
2h ago
Ni pigo kubwa kwa Gavana George Natembeya na vuguvugu lake la Tawe baada ya Chama cha UDA kumshinda mgombea wao katika uchaguzi mdogo uliofanyika Eneo bunge la Malava, Kaunti ya Kakamega. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya new