Back to home

Viongozi wa PCEA Narok wakashifu vurugu za chaguzi ndogo

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
2h ago
Uongozi wa Kanisa la PCEA umeungana na viongozi wengine nchini kukashifu vurugu za kisiasa zilizoshuhudiwa kabla na baada ya chaguzi ndogo zilizopita.