Back to home

Kampeni ya kuchangisha pesa za kusaidia watoto dhidi ya utapiamlo yazinduliwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Watoto walioathirika na utapiamlo katika Kaunti ya Nairobi watapata afueni hivi karibuni baada ya kampeni ya kuchangisha zaidi ya shilingi milioni ishirini na tano kuzinduliwa