Back to home

Rais Ruto aagiza polisi kukabiliana vikali na wahuni nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Rais William Ruto ametoa agizo kwa idara ya polisi kukabiliana vikali na makundi ya wahuni wanaovuruga amani nchini. Rais ameyasema hayo kwenye mahafali ya Machifu na manaibu wao 1,837 waliofuzu leo baada ya kukamilisha masomo ya utawala, sheria na usalama katika chuo cha mafunz