Back to home

Dhuluma za jinsia zaongezeka Naivasha kaunti ya Nakuru

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
2h ago
Dhuluma za jinsia zinaendelea kuongezeka hasa kwa wafanyakazi wa mashamba ya maua huko naivasha kaunti ya Nakuru. kwa mujibu wa utafiti wa kundi la wanaharakati dhidi ya dhuluma za jinsia la Naivasha , kesi nne huripotiwa kila wiki