Back to home

Wakazi wa Marachi kaunti ya Busia walalamika wanaishi kwenye mazingira machafu mno

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
1h ago
Familia zinazoishi katika mtaa wa mabanda wa Marachi viungani mwa mji wa Busia zimelalamikia mazingira duni ya kufanyia biashara katika eneo hilo