Back to home
Vikundi 50 vya wanawake vyapewa vifaranga Uasin Gishu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 3, 2025
7h ago
Vikundi vya akina mama takribani 50 vimenufaika na mradi wa kuku katika kaunti ya Uasin Gishu unaofadhiliwa na mwakilishi wa kike wa kaunti hiyo Gladys Boss.

