Back to home

Mzigo wa madeni waongeza umaskini huku wakenya wachache wakimiliki ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
3h ago
Ripoti mpya za mashirika ya kutetea haki zinaashiria namna wakenya walivyobanwa kiuchumi kutokana na sera na mzigo wa madeni ya serikali. Ripoti mbili za tume ya kutetea haki ya KHRC ikitoa taswira ya mzigo uliobebeshwa wakenya katika kufanikisha malipo ya madeni ya serikali na h