Back to home

Ulimwengu wadhimisha siku ya walemavu huku changamoto zikibaki

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
2h ago
Kenya leo imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya walemavu duniani huku walemavu wakidai uwakilishi wao kwenye nyadhifa za maafisa wakuu serikali. Baadhi ya waliozungumza kwenye maadhimisho huko makueni wakitaka mlemavu kuteuliwa kuwa waziri ili kuondoa unyanyapaa. Aidha, wana