Back to home

CCTV yaonyesha tukio la kifo cha Kilimani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
2h ago
Jioni ya leo, kanda ya kipekee ya cctv imeonyesha matukio yaliyojiri kabla ya kifo tata cha kijana wa miaka 25 Festus Oromo katika jumba moja eneo la kilimani hapa Nairobi. Kwenye video, matukio yanaonyesha yaliyojiri kabla ya ugomvi kuzuka kati ya marehemu Festus na mwanamke ali