Back to home
Wanaume Nandi watakiwa kuripoti unyanyasaji
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
1w ago
Wanaharakati wa haki za binadamu wamewahimiza wanaume katika Kaunti ya Nandi kujitokeza na kuripoti visa vya unyanyasaji wanaopitia ili kukomesha dhulma zakijinsia
Advertisement
Advertisement




