Back to home

Wakimbizi 2,260 wanaoishi kambi za Kakuma na Kalobeyei wafuzu kwa elimu ya teknolojia ya mtandao

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 4, 2025
11h ago
Mahafala 2,260 wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma na Kalobeyei Turkana wamefuzu kuwa wataalamu wa teknolojia ya mtandao baada ya kupokea mafunzo kutoka chuo cha ufundi cha Don Bosco Kakuma.