Back to home
Jamii 14 zajumuika kwenye hafla ya utamaduni Loiyangalani kaunti ya Marsabit
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
12h ago
Awamu ya 14 ya Tamasha ya marsabit na ziwa turkana imeng'oa nanga rasmi huko Loiyangalani , Jamii kumi na nne zinazoishi kaunti ya Marsabit zikijumuika kwenye hafla hiyo uya kitamaduni ya kila mwaka.





