Back to home

Kilifi: Hamasa yaanzishwa kwa wanabodaboda kuwashirikisha katika vita dhidi ya mifumo ya ukatili

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 4, 2025
1d ago
Huku ulimwengu ukiendelea kuadhimisha siku 16 za kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia, wadau mbalimbali katika kaunti ya Kilifi wameanzisha msururu wa hamasa kwa wahudumu wa bodaboda, wakilenga kuwashirikisha katika vita dhidi ya mifumo yoyote ya ukatili, ikiwemo ule unaotekelezw