Back to home
Watu watatu wauawa Ikolomani huku wakazi wakipinga uchimbaji wa dhahabu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
2h ago
Taharuki imetanda eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega baada ya watu watatu kuuawa kufuatia makabiliano makali kati ya wakazi na polisi. Maafisa wa usalama na wanahabari walijeruhiwa baada ya wakazi waliojawa na hasira kukatiza shughuli ya kupata maoni ya wananchi kuhusiana



