Back to home
MCK yakosoa matamshi ya Gachagua yanayothiri wanahabari
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
2h ago
Baraza la wanahabari nchini MCK limemshutumu aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kwa matamshi yake ya kizushi na hatari dhidi ya wanahabari. Kwenye taarifa yake, MCK imeonya kuwa matamshi ya Gachagua ni ya kutishia uhuru wa wanahabari na kuhatarisha maisha yao. Gachagua hivi ma




