Back to home

Wasomi na wanafunzi wahusishwa kuhifadhi utamaduni wa Maa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 5, 2025
1h ago
Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kwa ushiriano na Usimamizi wa Makavazi ya Kitaifa kilitia saini mkataba utakaolenga kuhifadhi historia ya utajiri wa jamii ya Maa kwa manufaa ya Utalii nchini.